"Jinsi Nilivyoweza Kununua My 1st Dream Car AUDI Q5 Ya MILLIONI 37M+ Kupitia BIASHARA Hii Ndani Ya Miezi 18 Tu"

…Tumia Mfumo Huu Mpya Wa Biashara Unaoningizia Zaidi Ya Millioni 10,660,996+ Kila Mwezi Kwa Kutumia Smartphone Yangu

Ndugu Msomaji…

 

Leo Nataka Nikuibie Siri ya MATAJIRI Wengi Ambayo
hawataki Uijue Kuhusu Mafanikio…

 

LAKINI…

 

Kabla Sijafichua Siri Hizi Kwako Naomba Nianze Kwa
Kukuuliza Hili Swali…

 

…Je, umewahi kujiuliza jinsi UMASIKINI unavyoweza kukutesa kila siku?

 

Unapoamka kila siku asubuhi ukiwa na mzigo wa madeni mabegani mwako,

 

unajiuliza Nitaishi Hivi Mpaka Lini?

 

…Kipato kidogo unachopata hakitoshi kulipa kodi,

 

ukifikiria kulipa bili za maji na umeme unakosa usingizi kabisa.

 

Unalazimika kufanya kazi za mwajiri Wako kama punda,

 

ukinyanyaswa na kutumikishwa bila hata nafasi ya kupumzika au kufurahia maisha yako.

 

Pesa unazopata ni za chakula tu, na hata hizo hazitoshi vizuri.

 

Kila siku ni mapambano Ya Kupata PESA ya Kula Na KODI Ya Nyumba, huku ndoto zako zikizidi kufifia.

 

Unajiona kama umezama kwenye bahari ya madeni, kila jaribio la kupanda juu linakuletea deni jipya.

 

Na mwajiri wako?

 

Hana huruma Kabisa…

 

Unafanya Kazi nyingi, mshahara mdogo, na hakuna…

 

matumaini ya kuboresha hali yako Ya Maisha

 

Haya ni maumivu ya kweli ya umaskini.

 

Naelewa Unavyojisikia..

 

Maumivu ambayo yanaharibu ndoto Yako, yanaharibu Mahusiano Yako, na yanakufanya uishi kama

 

mfungwa wa madeni na matatizo Kibao.

 

Je Ungependa Kuyabadilisha MAISHA Yako Leo?

 

Kama Umejibu NDIYO Basi Soma UJUMBE Huu Mpaka Mwisho Na Ndani Ya Sekunde 60 Zijazo Nitakuonyesha…

 

…Mfumo Mpya Wa Biashara Utakaokuingizia PESA NYINGI Kama CHUMA ULETE!

 

Yawezekana Bado Huniamini Si Ndiyo?

 

…Ebu Angalia hapa Jinsi Mfumo Huu Wa Biashara
Unavyoningizia MAOKOTO Masaa 24/7 Hata Kama Nimelala…

Hii, Jina Langu Ni Charles Peter,

Naishi, Mwenge – Dar es Salaam,

…Binafsi Siri Hii nilijifunza 2021 Kutoka Kwa mentor Wangu Dan Lok

Kitu ambacho kilibadilisha Kabisa Mwelekeo wa Maisha
yangu Mpaka Leo

DanLok…Alifanya Utafiti Wa Kisiri Na Akagundua Kwamba:

 

Watu Wote Waliofanikiwa Wana Sifa Hizi 9 za Lazima…(Unazoweza Kuziiga na Ukafanikiwa pia)

…Na Baada ya Kusoma Vitabu Vya Watu Waliofanikiwa Zaidi ya 79

Na Hiki Ndicho Nilichokigundua Kuhusu Watu Waliofanikiwa:

 

NA:

 

SIRI Number 8 & 9 Ndiyo Zitakazo Kufanya Ufanikiwe MAISHA Yako Yote Kuanzia Leo

1). Wote wanatafuta MAARIFA Kwa udi na Uvumba:

…Huwezi Kuwa Zaidi ya Jinsi Ulivyo kichwani Mwako…(Utajiri unaanzia Kichwani Ndio Unakuja Mifukoni) Kama Huamini Kuwa Utafanikiwa Kawme! Huwezi Kufanikiwa…

2). Hawana KESHO…wanafanya Kila Kitu Leo Leo

Kesho Haijawahi Kufika… Anza Leo acha Kughairisha Mambo!

3). Toka Kwenye Comfort zone Yako

Wewe ni Zao la Mazingira unayoishi, Watu wanaokuzunguka na aina ya Taarifa unazoingiza kichwani Mwako

4). Pesa unayoitoa Kulipia Maarifa sio Matumizi (Expenses) Bali ni Uwekezaji (Investment)

Pesa unayoitoa Kulipia Maarifa Leo…baadae  itarudi X 10 Zaidi

Kwahiyo Lipia Courses, Coaching, Mentorship & Workshop nk

5). Kufeli Kwenye Chochote sio Kitu Kibaya ni Sehemu ya Mchakato

Jiruhusu Kufeli Ili Ukue

Huwezi kukua Bila Kufeli

Kufeli ni kufeli kama Tu hautajifunza Kutoka Kwenye hiyo Failure

Kufeli ni Feedbacks sio Failure

Failure Kubwa Zaidi Kuliko Zote ni Kutofanya Chochote

6). CONSISTENCY Ndio Ufunguo wa Mafanikio Kwenye Kila Kitu

Vitu Vingi havitaonesha Matunda Kwa mara ya Kwanza, ya pili na ya Tatu…ya Nne ndo Matokeo yanaonekana

So jipe Muda!

7). Acha Kulaumu Watu Kutokana na Hali Yako ya Sasa

Kulaumu Watu Wengine ni Mindset ya Kimasikini…

Ukweli ni Kwamba:

Hali Yako ya Sasa sio Makosa Ya:

 

Wazazi wako, Ndugu, Marafiki Wala serikali

Ni Jukumu Lako Kwa 100%

8). Chagua Mentor Sahihi wa Kujifunza Kutoka kwake

Haijalishi unajifunza Nini Bali unajifunza Kutoka Kwa nani 

… Kwasababu Mentor Wako Ndio Kioo Cha Maisha unayoyataka

9).Wanafanya EXPERT Business Kuliko TRADITIONAL Business

Kwakifupi Watu Wengi Wanabaki Kuwa Masikini Wa Kutupwa Kwa Sababu

 

AKILI Zao Zimekalilishwa Kufanya Kazi Au Biashara Zilizopitwa Na Wakati

 

Na Hii Ndiyo AINA Ya BIASHARA Inayoningizia PESA Kama MCHAWI Hata kama Nikiwa Nimelala FOFO!

Bado Huniamini SIO?

OK…Hebu Chungulia Hapa Chini Ujionee Mwenyewe MAOKOTO Yanavyoingia Kwenye ACCOUNT Yangu Kila Dakika…

Ukweli Ni KWAMBA Binamu…

 

Tupo Kwenye Dunia ya Watu…na Watu Ndio Wenye Pesa Sio Vitu…

 

Na Hapa sizungumzii Watu kama Watu…

 

Nazungumzia Watu SAHIHI Kama Wewe Unayesoma Hapa sasa hivi

 

Kwasababu…

 

Sio kila Mtu ni Sahihi Kwako

Ukweli Mchungu Kuhusu Watu ni Kwamba:

 

“Wewe ni Wastani wa Watu 5 Unaotumia Muda Mwingi Kuwa Nao”

Mfano:

Kama Muda wako Mwingi unatumia Kukaa na Matajiri 9…

 

…basi Wewe Utakuwa Tajiri wa 10 Muda sio Mrefu

Hivyo hivyo pia kama unatumia Muda Mwingi Kukaa na…

 

Masikini ambao Muda Mwingi wao ni Kulalamika Na…

 

Kulaumu Serikali na Kubishana Kuhusu Simba &Yanga…

…Basi tegemea Kuwa Masikini ajaye pia

 

….Na Hii ni FACT!…

 

Kwanini Nakwambia yote Haya?…

 

Kwasababu:

 

Wengi Huwa tunakuja Kushtuka Wakati Ambao Tayari ni…

….”TOO LATE”


Tafiti zinasema:

“Watu Wengi wanakujaga Kushtuka Kuhusu Vitu Hivi
wakiwa na Umri wa Miaka 57-69″

 

Wanaishia Kupata Pressure na Depression na Wengine
Hata Kupoteza Maisha

 

Wanakuwa hawana Chochote Cha Kubadilisha Kutokana
na Nguvu na MUDA kuwatupa Mkono

 

Kwahiyo:

 

Epuka Kunaswa Kwenye Huo Mtego!

Hakuna Kitu kinachoumiza uzeeni kama
MAJUTO….(Regrets)

 

NA…

 

Baada ya kujifunza siri Hizi, akili yangu ilibadilika kwa
namna ambayo sikuwahi kufikiria Kabla…

 

Nilianza kuona fursa mahali ambapo wengine waliona
vikwazo.

Kuanzia Siku Hiyo Nilianzisha Biashara Ya Kuuza Nguo Pale Msimbazi B Kariakoo 

Mwezi wa kwanza, nilijawa na matumaini…


Niliweka juhudi nyingi na akili yangu yote katika biashara Ile


Lakini, bahati mbaya,


Ni Kwamba…


Ndani ya miezi mitatu tu, biashara ilikufa Nikabaki MASIKINI Wa Kutupwa
Nilijitahidi sana kuelewa ni wapi nilikosea,

LAKINI…

 

Niligundua Huu Ndio MTEGO Unaokufilisi PESA Zako Kwenye Biashara Yako Na…


…Kukufanya Uwe MASIKINI…Milele! (Tena Bila Wewe Kujua)

 

Na Hizi Ndizo Sababu Kubwa Zinazofanya Biashara Nyingi Kufa (Kufilisika)

 

-Ukosefu wa Utafiti wa Soko:

Nilianza biashara yangu bila kufanya utafiti wa kutosha kuhusu mahitaji ya wateja.


-Ushindani Mkali:

Hii Ni Changamoto ya wafanyabiashara Wengi Mno
Ambao Bado Wanatumia Mbinu za Kizamani Kutangaza Biashara Zao.


-Ukosefu wa Mtaji wa Kutosha;

Pamoja Na Changamoto Zingine Kibao unazozijua…


NA…

 

Baada ya biashara yangu ya kuuza nguo Kariakoo kufa
ndani ya miezi mitatu tu, nilihisi kama ndoto zangu zote zimevunjika

Nilijikuta nikikosa mwelekeo, nikiwa nimejaa maswali bila majibu


Unahisi Nini Kilitokea Baada Ya Hapo?


NDIYO Upo Sahihi


Nilipata STRESS Na Msongo Wa Mawazo Mpaka NGUVU ZA KIUME Zilipungua Na MASHINE Yangu Ikanywea Ndani Kama Ya Mtoto


LAKINI…

 

Kama…BAHATI TU!

 

Siku moja, nikiwa nasoma UDAKU kwenye mitandao ya kijamii,

nilikutana na mtu aliyebadilisha maisha yangu Milele!


– mentor wangu wa sasa Anaitwa:

 

IMAN MOSSES:


Huyu Kijana Aliyefanikiwa Sana Katika Biashara Hii Unayoenda Kuiona Ndani Ya Sekunde 60 Zijazo Anaingiza Dollar $11,719.3 Hiyo Ni Zaidi Ya Millioni 32M+ Kila Mwezi

Niliona tangazo lake kwenye Facebook…


“likizungumzia mfumo mpya wa biashara kupitia mtandao”


Alikuwa akiongelea jinsi watu wengi walivyojikwamua
kiuchumi kwa kutumia mbinu rahisi za kidigitali,


Tena Kwa Muda Wako Wa Ziada Angalau (Masaa 3-4 Kwa Siku!)


Kwa kuwa nilikuwa Napitia MSOTO Wa Maisha, nilijaribu kuwasiliana naye moja kwa moja.


Hatua hiyo ndogo iligeuka kuwa uamuzi muhimu zaidi maishani mwangu


KWANI:


Alinifundisha hatua kwa hatua, akinionyesha jinsi ya…


kutumia fursa za mtandaoni kujenga biashara bila
gharama kubwa wala shinikizo la kukodisha maduka


Aliweka wazi mfumo huu Mpya wa biashara ambao
unaniwezesha kufanya kazi popote, na hapo…


…Ndipo nilipogundua kuwa Hii Ndiyo Aina Ya BIASHARA
Itakayokulipa MAISHA YakoYote Hata Kama Una Miaka 97+


“Charles Ni Aina gani Hiyo Ya Biashara?…


Usijali Soma Mistari Michache Tu HAPA Chini Kwa Makini Nimeelezea Kila Kitu…


NA…Hii Ni Biashara Inayofanyika Kwa Mfumo Wa…


“NETWORK SYSTEM”


…katika kampuni ya “BF SUMA” ni fursa ya
kujiongezea kipato kupitia…


…Njia Zaidi Ya 5! Za UHAKIKA 100% (GUARANTEED)


NA:


Huu ndio Mfumo mpya wa Biashara Halali Mtandaoni Utakao kupa…


“Faida Kuu 5 za Kunufaika na Biashara katika Kampuni ya Bright Future”


Achana BIASHARA Za KITAPELI Kama Zile Za Kina KALYNDA Ecommerce, LBL Nk. Hizo Zote Ni PONZI SCHEM Za Kitapeli


Kwa SABABU Hazina Physical Products Zinazouza…


Yaani Unaambiwa Ucheze GAMES Tu Kisha Ulipwe Serious?


Kwahiyo Ili Utengeneze PESA Halali Mtandaoni Ni Lazima Uwe Na Bidhaa au Huduma Yenye Uthamani…


Na Hizi Ndizo FAIDA Kuu 5 Utakazopata Katika BIASHARA Hii…


1). Retail Profits (Faida Za Rejareja).

Hii Ni Moja ya faida za moja kwa moja katika biashara Kutokana na uwezo Wako wa kupata faida kupitia kuuza bidhaa Halisi.


Kwa mfano,


Kuna bidhaa katika kampuni inapatikana kwa bei Ndogo Tu ya
shilingi 42,000 na Wewe Unaweza kuiuza kwa shilingi 125,000,

Kwa Hesabu Za Haraka Haraka Hapa


utaingiza faida ya shilingi 83,000 kwa kila bidhaa moja unayouza. Chukulia Mfano,


Ikiwa utaweza kuuza bidhaa 30 kwa mwezi, utapata faida ya shilingi Millioni 2,490,000.


NA:


Hivi Ndivyo Navyotengeneza PESA kama WAZIMU…


Angalia jinsi Mfumo Huu Unavyo Print Money
online Hata kama Nimelala..

2. BONUS ya Kila Mwezi Kutegemea na Mauzo Uliyo
fanya.


Katika Kampuni Ya Bright Future, unapata bonasi ya kila
mwezi kulingana na mauzo yako binafsi na ya timu yako


Kadri unavyouza zaidi, ndivyo bonasi zako zinavyoongezeka.


Na Hii ni baadhi tu ya BONUS Ambazo Wajasiliamari
Wenzangu Wanapokea Kila Mwezi…

3. Tuzo za Safari Kila Mwaka zenye Thamani ya Shilingi
Milioni 4 hadi Milioni 8.


Bright Future inatambua juhudi za wafanyakazi wake na
huwatunuku safari za kifahari kila mwaka.


Mfano kwenda Dubai,Malaysia,Marekani,Singapore,
nk

Kama Unavyoona Hizi Shuuda Hapa

4. Tuzo za Magari Kila Mwaka zenye Thamani ya
Shilingi Milioni 30 hadi Milioni 60.


Kampuni hii pia inatoa magari kwa wale wanaofanya
vizuri zaidi kwenye mauzo kila mwaka.


5. Tuzo ya Nyumba Baada ya Miaka Mitano yenye
Thamani ya Shilingi Milioni 560.


Baada ya miaka mitano ya kufanya vizuri na kuwa na
timu kubwa yenye mafanikio, unaweza kupata nyumba ya
kifahari yenye thamani ya shilingi milioni 560 kama
sehemu ya motisha kubwa kutoka Bright Future.

Hii inakupa nafasi ya kumiliki mali isiyohamishika,
kukuwezesha kuwa na maisha bora zaidi.

 

“Biashara ya Bright Future inatoa fursa nyingi za
kujiongezea kipato huku ukijipatia tuzo na marupurupu
mengi, yote yakitokana na bidii na jitihada zako kwenye biashara hii”

 

NA…

 

Bahati Nzuri Ni Kwamba Mfumo Huu Mpya Wa Biashara…

 

-Huhitaji Kuwa Na Mtaji mkubwa Kuanza

 

-Huhitaji Kuwa Bidhaa Yako Mwenyewe

 

-Huhitaji Kuwa Na FREMU Au Duka

 

-Huhitaji Kulipia KODI Ya Pango

 

Kwahiyo… Unachotakiwa Kufanya Ni…

Kujisajili Moja kwa moja Kwenye Mfumo Wa Kampuni…

Kwa Gharama Ya Tshs 179,999 Tu!

NA:

 

Sio hivyo tu…

 

Kama utajiunga ndani ya Masaa 6 kuanzia sasa hivi Utapata hizi
BONASI Hapa Chini Zenye Thamani ya Tshs 875,000 BURE Kabisa…

 

BONASI #1: Utaungwa BURE Kwenye Group La VIP (Mentorship
Support) Miaka mitano Mpaka Utimize Malengo Yako…(Wengine
Hulipia Tshs 250,000)

 

BONASI #2: Utapata FREE RECORDED Masterclass Inayoelezea
Hatua kwa hatua jinsi ya Kufanya settings Za ACCOUNT Zako Za
Facebook,Instagram &TikTok…(Huwa Inauzwa Tshs 95,000)

 

BONASI #3: Utapata FREE RECORDED Masterclass Hatua Kwa
hatua jinsi ya kutengeneza Matangazo Yenye Kunasa Wateja
Mtandaoni Kwa Kutumia CANVA(Huwa Inauzwa Tshs 65,000)

 

BONASI #4: Utapata BURE eBook Yangu MPYA Yenye
Mkusanyiko Wa Headline 99 Zinazouza Mtandaoni Hapa Bongo
Inayoitwa “Hooks Sekunde 3”…(Huwa Inauzwa Tshs 75,000)

 

“Utakopi Tu & Kupesti hizi Headlines kwenye Matangazo yako ya
kuuza bidhaa Zako mtandaoni”

 

BONASI #5: Utapata BURE My Secret PDF Ya Jinsi Ya Kusuka OFA
Ya Kufa Mtu Ambayo Itamfanya Mteja Wako Ajione MJINGA Kama
Hatajinyakulia OFA Yako…(Huwa Inauzwa Tshs 35,000)

 

“Na Si Hivyo Tu…Good News” Ni Kwamba…

 

…Kama Utalipia Kitabu Chako Sasa hivi Nitakupa MFUMO Mzima
Wa Biashara Yangu BURE Kabisa…

 

BONASI #6: Utapata VIDEO Iliyo Rekodiwa KISIRI Ya Jinsi
Ya kutengeneza MFUMO Utakaofanya Kazi Bila Uwepo Wako 24/7
Hata Kama Umelala…

 

…Mfumo huu ni Maarufu Kama….(Landing page)
(Thamani Yake Ni Tshs 350,000)

 

Secretes: Huu Ni Mfumo Unaowatajirisha Mamilioni Ya

Wajasiliamari Walioshtuka Kwa Sasa hivi

 

Mfano Kuna Hawa Rafiki zangu Mr AHAZI NGESSY Na AMOS MWITA, Walikuwa


Wakipiga Simu Mara 25 Kwa siku Ili Niwafundishe Mfumo Huu

Na Ndani Ya Mwezi Mmoja Tu Waliweza Kutengeneza Zaidi Ya
Millioni 10M+ Na Amos Kufika 3M+…

 

Kama Huniamini Angalia Hapa Wanachosema

Ndani ya Masaa 6 Utaweza Kuungana Na TEAM ya WASHINDI…
“UNITED EAGLE’S TEAM”

 

Pamoja na BONASI Zenye Thamani ya Tshs 875,000 Kwa Malipo ya…

 

“Tshs 179,999 Tu”

Tshs 875,000 Punguzo La 98%
Kujiunga Kwa Bei Hii Zimebaki…

Kikubwa zaidi ni kwamba baada ya Kujiunga Na Mfumo Huu Mpya
Wa Biashara…

 

…Utalindwa na Hii GUARANTEE Hapa Chini…

 

“Kama ndugu zako na marafiki zako wa karibu hawatakwambia
UMEBADILIKA na umekuwa MPYA baada ya kuanza Biashara Hii
au kama Utatumia $200 Kwenye Matangazo Na Usitengeneze
Faida Ya $800 ndani ya siku 60 zijazo…basi Dai Pesa yako na
Nitakurudishia bila kukuuliza swali Lolote…Kwahiyo Hakuna RISK
Yoyote upande wako”

Chaguo ni Lako….Aidha uendelee kubaki vile vile kama ulivyokuwa
mwaka Jana Au Ufanye Maamuzi Sasa hivi na Ubadilishe kila kitu
ndani ya 2025!

 

TAFADHALI: Nafasi za watu Watakaopata BONASI ni 9 Tu….Kwahiyo Wahi LIPIA Sasahivi Kabla Hazijanyakuliwa zote

 

P. S. Ukweli ni kwamba Ukichelewa Kuanza Biashara Utazikosa
BONASI zote…na Kuanzia Kesho Bei Ya Kuanza Biashara Itarudi
kwenye Bei yake ya kawaida ambayo ni Tshs 675,000

 

…Lakini Leo bado unaweza Kuanza Biashara Hii Kubwa Pamoja na
BONASI Zake Zenye Thamani ya Tshs 875,000 kwa Malipo Kidogo ya:

 

“Tshs 179,999 Tu”

Tshs 875,000 Punguzo La 98%
Kujiunga Kwa Bei Hii Zimebaki…

Hey! Bado Upo

Yawezekana Unajiuliza Maswali Haya

● Je Ofisi Yenu Inapatikana Wapi Hapa
Tanzania?

-Well Ofisi Kuu Ipo Dar es Salaam, Mlimani city Lakini Tuna Brach
katika Baadhi ya Mikoa Hapa Tanzania

● Je Ukilipia Hiyo Tshs 179,999, Kujiunga,

 

Je Kuna Malipo Mengine Badaye?

 

Hapana ❌ Ukiisha Lipia Hiyo Hakuna Malipo Mengine
Milele,Zaidi ya kuwekeza Kwenye Biashara Yako Tu!

 

● Je Hizo PESA Nitalipwaje Baada Ya Kufanya Kazi
(Mauzo)

-Well, PESA Zote Utalipwa Kupitia ACCOUNT Zako Za Simu Kama Vile

TIGO PESA,VODACOM,Aitel Au CRDD & NMB Bank
Accounts.

Kwahiyo Huna Cha Kupoteza Kabisa!